Kitabuni
Ukiwa unajifunza, au unaendesha biashara — zana zako ziko hapa, kwa Kiswahili chako.
Kwa Kujifunza
Lugha, IT, Ujasiriamali na Ajira
Masomo yanayofuata hatua zako — mazungumzo ya Kiingereza na msaidizi wa AI, misingi ya Python na JavaScript, kuanzisha biashara yako mwenyewe, na kujiandaa kwa usaili.
Kuanzia TZS 15,000/mwezi
Anza Kujifunza
Kwa Biashara
QR Menu, Duka na Uhifadhi wa Meza
Wateja wanaagiza wenyewe kwa kuskani QR code mezani, unasimamia stoki na oda kwa wakati halisi, na wafanyakazi wako wanapata ufikiaji wao — kila kitu mahali pamoja.
Kuanzia TZS 30,000/mwezi
Anzisha Biashara
Vinakuja pamoja, bila malipo ya ziada:
Stempu za Uaminifu
Zawadi na Salio la Mteja
Gumzo la Moja kwa Moja na Wateja
Wafanyakazi na Mishahara